sport news

Goli moja la Himid Mao liloipa Azam FC kombe la Mapinduzi , Full Time 1-0

Tarehe 30 2016 ndio ilikuwa siku ambayo mashindano ya Mapinduzi Cup yalifunguliwa na leo January 13 2016 Kombe la Mapinduzi lilifikia katika hatua ya fainali ambapo Azam FC walikutana na Simba SC kucheza katika hatua ya fainali na Azam FC waliibuka washindi baada ya kuifunga Simba kwa goli 1-0

Goli la Azam FC lilifungwa katika dakika ya 12′ kupitia kwa Himid Mao goli ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo na hivyo kuifanya Azam FC kuibuka washindi wa kombe la Mapinduzi 2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *